<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?> <!-- ~ Copyright (C) 2015 The Android Open Source Project ~ ~ Licensed under the Apache License, Version 2.0 (the "License"); ~ you may not use this file except in compliance with the License. ~ You may obtain a copy of the License at ~ ~ http://www.apache.org/licenses/LICENSE-2.0 ~ ~ Unless required by applicable law or agreed to in writing, software ~ distributed under the License is distributed on an "AS IS" BASIS, ~ WITHOUT WARRANTIES OR CONDITIONS OF ANY KIND, either express or implied. ~ See the License for the specific language governing permissions and ~ limitations under the License. --> <resources xmlns:android="http://schemas.android.com/apk/res/android" xmlns:xliff="urn:oasis:names:tc:xliff:document:1.2"> <!-- no translation found for description_fr_dvb_u (8232083238497153682) --> <skip /> <!-- no translation found for description_es_dvb_all (4821183217465284547) --> <skip /> <!-- no translation found for description_es_dvb_c (1367395312248365855) --> <skip /> <!-- no translation found for description_es_dvb_x (438890727939582714) --> <skip /> <!-- no translation found for description_kr_tv_all (3048365195196820853) --> <skip /> <!-- no translation found for description_kr_tv_7 (5892929693766504059) --> <skip /> <!-- no translation found for description_kr_tv_12 (1883893246941826597) --> <skip /> <string name="description_kr_tv_15" msgid="5888141153573158322">"Huenda programu zikawa na maudhui ambayo hayafai hadhira ya watoto wa umri wa chini ya miaka 15. Kwa hivyo, hiari ya wazazi inahitajika."</string> <string name="description_kr_tv_19" msgid="9197085158053054550">"Huenda programu zikawa na maudhui yasiyoruhusiwa kwa watazamaji wa umri wa chini ya miaka 19."</string> <string name="description_us_tv_d" msgid="12333789157204816">"Mazungumzo yanayochochea ngono"</string> <string name="description_us_tv_l" msgid="4105102855627964319">"Lugha ya matusi"</string> <string name="description_us_tv_s" msgid="7552447251273237176">"Maudhui ya ngono"</string> <string name="description_us_tv_v" msgid="4799470820740236198">"Vurugu"</string> <string name="description_us_tv_fv" msgid="4760884520245003167">"Vurugu ya dhahania"</string> <string name="description_us_tv_y" msgid="1352346035366881161">"Kipindi hiki kimetayarishwa kuwafaa watoto wa marika yote."</string> <string name="description_us_tv_y7" msgid="8074158131815307880">"Kipindi hiki kimetayarishwa kwa ajili ya watoto walio na umri wa miaka 7 na zaidi."</string> <string name="description_us_tv_g" msgid="4129784125991285944">"Wazazi wengi zaidi wataona kuwa kipindi hiki kinafaa kwa umri wowote."</string> <string name="description_us_tv_pg" msgid="5647218792100947596">"Kipindi hiki kina maudhui ambayo wazazi wanaweza kuona kuwa hayafai watoto wao wachanga zaidi. Wazazi wengi wanaweza kupendelea kukitazama na watoto wao wachanga."</string> <string name="description_us_tv_14" msgid="8682987672893857317">"Kipindi hiki kina maudhui ambayo wazazi wengi wataona kuwa hayafai kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 14."</string> <string name="description_us_tv_ma" msgid="8912237130594289176">"Kipindi hiki kimeundwa maalum kwa kutazamwa na watu wazima na hivyo basi huenda kisiwafae watoto wenye umri wa chini ya miaka 17."</string> <string name="title_us_mv" msgid="7861766023361439035">"Ukadiriaji wa filamu"</string> <string name="description_us_mv_g" msgid="9185817407450418638">"Hadhira ya jumla. Kipindi ambacho hakitawaudhi wazazi endapo watoto watatazama."</string> <string name="description_us_mv_pg" msgid="8578620326248525384">"Mwongozo wa wazazi unapendekezwa. Baadhi ya maudhui yanaweza kuwa hayafai watoto."</string> <string name="description_us_mv_pg13" msgid="7077331984538950084">"Wazazi wanatahadharishwa. Baadhi ya maudhui yanaweza kuwa hayafai watoto wanaokaribia kuwa chipukizi."</string> <string name="description_us_mv_r" msgid="4482914375592527277">"Inadhibitiwa.Yana maudhui ya watu wazima. Wazazi wanashauriwa kupata maelezo zaidi kuihusu filamu kabla ya kuandamana na watoto wao wadogo kuitazama."</string> <string name="description_us_mv_nc17" msgid="1897668555117874369">"Mtu yeyote mwenye umri wa chini ya miaka 17 haruhusiwi. Watu wazima tu. Watoto hawaruhusiwi."</string> </resources>