<?xml version="1.0" encoding="UTF-8"?>
<!--
/**
* Copyright (C) 2014 The Android Open Source Project
*
* Licensed under the Apache License, Version 2.0 (the "License");
* you may not use this file except in compliance with the License.
* You may obtain a copy of the License at
*
* http://www.apache.org/licenses/LICENSE-2.0
*
* Unless required by applicable law or agreed to in writing, software
* distributed under the License is distributed on an "AS IS" BASIS,
* WITHOUT WARRANTIES OR CONDITIONS OF ANY KIND, either express or implied.
* See the License for the specific language governing permissions and
* limitations under the License.
*/
-->
<resources xmlns:android="http://schemas.android.com/apk/res/android"
xmlns:xliff="urn:oasis:names:tc:xliff:document:1.2">
<string name="app_label" msgid="2400883737290705700">"Uwekaji wa wasifu wa kazini"</string>
<string name="provisioning_error_title" msgid="6320515739861578118">"Lo!"</string>
<string name="setup_work_profile" msgid="1468934631731845267">"Weka mipangilio ya wasifu wa kazini"</string>
<string name="company_controls_workspace" msgid="2808025277267917221">"Shirika lako linadhibiti kifaa chako na kukiweka salama. Unadhibiti vitu vingine vyote kwenye kifaa chako."</string>
<string name="company_controls_device" msgid="8230957518758871390">"Shirika lako litadhibiti kifaa hiki na kukiweka salama."</string>
<string name="the_following_is_your_mdm" msgid="6613658218262376404">"Programu ifuatayo itahitaji kufikia wasifu huu:"</string>
<string name="the_following_is_your_mdm_for_device" msgid="6717973404364414816">"Programu zifuatazo zitadhibiti kifaa chako:"</string>
<string name="next" msgid="1004321437324424398">"Inayofuata"</string>
<string name="setting_up_workspace" msgid="4517537806569988620">"Inaweka mipangilio ya wasifu wako wa kazi..."</string>
<string name="admin_has_ability_to_monitor_profile" msgid="4552308842716093826">"Msimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa mashirika, ruhusa za programu na data inayohusiana na wasifu huu, ikijumuisha shughuli zako za mtandaoni, pamoja na mahali kilipo kifaa chako, rekodi ya simu zilizopigwa na historia ya anwani ulizotafuta.<xliff:g id="LINE_BREAK"><br><br></xliff:g>Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako."</string>
<string name="admin_has_ability_to_monitor_device" msgid="2375961046794109749">"Msimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa mashirika, ruhusa za programu na data inayohusiana na kifaa hiki, ikijumuisha shughuli zako za mtandaoni, pamoja na mahali kilipo kifaa chako, rekodi ya simu zilizopigwa na historia ya anwani ulizotafuta.<xliff:g id="LINE_BREAK"><br><br></xliff:g>Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako."</string>
<string name="theft_protection_disabled_warning" msgid="3708092473574738478">"Ili utumie vipengele vya kifaa vya kuzuia wizi, lazima uwe na skrini inayoweza kufungwa kwa nenosiri kwenye kifaa chako."</string>
<string name="contact_your_admin_for_more_info" msgid="5959191345827902911">"Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako."</string>
<string name="learn_more_link" msgid="3012495805919550043">"Pata maelezo zaidi"</string>
<string name="cancel_setup" msgid="2949928239276274745">"Ghairi"</string>
<string name="ok_setup" msgid="4593707675416137504">"Sawa"</string>
<string name="user_consent_msg" msgid="8820951802130353584">"Ninakubali"</string>
<string name="url_error" msgid="5958494012986243186">"Kiungo hiki hakiwezi kuonyeshwa."</string>
<string name="terms" msgid="8295436105384703903">"Sheria na masharti"</string>
<string name="work_profile_info" msgid="5433388376309583996">"Maelezo ya wasifu wa kazini"</string>
<string name="managed_device_info" msgid="1529447646526616811">"Maelezo kuhusu kifaa kinachosimamiwa"</string>
<string name="default_managed_profile_name" msgid="5370257687074907055">"Wasifu wa kazini"</string>
<string name="default_first_meat_user_name" msgid="7540515892748490540">"Mtumiaji wa kwanza"</string>
<string name="delete_profile_title" msgid="2841349358380849525">"Futa wasifu uliopo?"</string>
<string name="opening_paragraph_delete_profile" msgid="7846971308431780139">"Tayari una wasifu wa kazini ambao unadhibitiwa kwa kutumia programu ifuatayo:"</string>
<string name="read_more_delete_profile" msgid="7789171620401666343">"Kabla ya kuendelea, "<a href="#read_this_link">"soma hapa"</a>"."</string>
<string name="sure_you_want_to_delete_profile" msgid="6927697984573575564">"Ukiendelea, utafuta data na programu zote zilizo kwenye wasifu huu."</string>
<string name="delete_profile" msgid="2299218578684663459">"Futa"</string>
<string name="cancel_delete_profile" msgid="5155447537894046036">"Ghairi"</string>
<string name="encrypt_device_text_for_profile_owner_setup" msgid="7828515754696057140">"Ili kuweka wasifu wako wa kazini, unahitaji kusimba kifaa chako kwa njia fiche. Huenda shughuli hii ikachukua muda."</string>
<string name="encrypt_device_text_for_device_owner_setup" msgid="5194673142404735676">"Ili kupanga kifaa hiki, unahitaji kwanza kukisimba kwa njia fiche. Huenda shughuli hii ikachukua muda."</string>
<string name="encrypt_this_device_question" msgid="8719916619866892601">"Ungependa kusimba kifaa hiki kwa njia fiche?"</string>
<string name="encrypt" msgid="1749320161747489212">"Simba kwa njia fiche"</string>
<string name="continue_provisioning_notify_title" msgid="5191449100153186648">"Usimbaji fiche umekamilika"</string>
<string name="continue_provisioning_notify_text" msgid="1066841819786425980">"Gonga ili uendelee kuweka mipangilio ya wasifu wako wa kazini"</string>
<string name="managed_provisioning_error_text" msgid="7063621174570680890">"Haikuweza kusanidi wasifu wako wa kazi. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari au ujaribu tena baadaye."</string>
<string name="cant_add_work_profile" msgid="9217268909964154934">"Imeshindwa kuongeza wasifu wa kazini"</string>
<string name="user_cant_have_work_profile_contact_admin" msgid="1014351338944641678">"Mtumiaji huyu hapaswi kuwa na wasifu wa kazini. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi."</string>
<string name="user_cannot_have_work_profiles_contact_admin" msgid="4386452918273443379">"Mtumiaji huyu hapaswi kuwa na wasifu wa kazini. Wasiliana na msimamizi wako."</string>
<string name="device_owner_exists" msgid="8020080296133337023">"Wasifu wa kazini hauwezi kusanidiwa kwenye kifaa kinachosimamiwa"</string>
<string name="too_many_users_on_device_remove_user_try_again" msgid="2795045208576680027">"Huenda kuna watu wengi mno wanaotumia kifaa hiki. Ondoa mtumiaji kisha ujaribu tena."</string>
<string name="change_device_launcher" msgid="4523563368433637980">"Badilisha kifungua programu cha kifaa"</string>
<string name="launcher_app_cant_be_used_by_work_profile" msgid="3524366082000739743">"Wasifu wako wa kazini hauwezi kutumia kifungua programu hiki"</string>
<string name="cancel_provisioning" msgid="3408069559452653724">"Ghairi"</string>
<string name="pick_launcher" msgid="4257084827403983845">"Sawa"</string>
<string name="user_setup_incomplete" msgid="6494920045526591079">"Usanidi wa Mtumiaji Hujakamilika"</string>
<string name="default_owned_device_username" msgid="3915120202811807955">"Mtumiaji wa kifaa cha kazini"</string>
<string name="setup_work_device" msgid="4243324420514896773">"Weka mipangilio ya kifaa cha kazi"</string>
<string name="progress_data_process" msgid="1707745321954672971">"Inachakata data ya kuweka mipangilio..."</string>
<string name="progress_connect_to_wifi" msgid="472251154628863539">"Inaunganisha kwenye Wi-Fi..."</string>
<string name="progress_download" msgid="3522436271691064624">"Inapakua programu ya msimamizi..."</string>
<string name="progress_install" msgid="2258045670385866183">"Inasakinisha programu ya msimamizi..."</string>
<string name="progress_delete_non_required_apps" msgid="7633458399262691256">"Inaondoa programu za mfumo zisizohitajika…"</string>
<string name="progress_finishing_touches" msgid="9037776404089697198">"Inaweka vipengele vya mwisho…"</string>
<string name="progress_set_owner" msgid="8214062820093757961">"Inaweka mipangilio ya mmiliki wa kifaa..."</string>
<string name="progress_initialize" msgid="1104643492713424939">"Inaanzisha kifaa..."</string>
<string name="device_doesnt_allow_encryption_contact_admin" msgid="8297141458771829628">"Kifaa hiki hakiruhusu usimbaji fiche, unaohitajika kuweka mipangilio. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi."</string>
<string name="stop_setup_reset_device_question" msgid="7547191251522623210">"Ungependa kusimamisha shughuli ya kuweka mipangilio na uweke upya mipangilio ya kifaa?"</string>
<string name="this_will_reset_take_back_first_screen" msgid="4623290347188404725">"Hatua hii itaweka upya mipangilio ya kifaa chako na kukurejesha kwenye skrini ya kwanza."</string>
<string name="device_owner_cancel_message" msgid="2529288571742712065">"Je, ungependa kuacha kusanidi na ufute data iliyomo kwenye kifaa chako?"</string>
<string name="device_owner_cancel_cancel" msgid="1052951540909389275">"Ghairi"</string>
<string name="device_owner_error_ok" msgid="2002250763093787051">"Sawa"</string>
<string name="reset" msgid="6467204151306265796">"Weka upya"</string>
<string name="cant_set_up_profile" msgid="4341825293970158436">"Imeshindwa kuweka wasifu"</string>
<string name="cant_set_up_device" msgid="4120090138983350714">"Imeshindwa kuweka mipangilio ya kifaa"</string>
<string name="couldnt_set_up_device" msgid="60699158233724802">"Imeshindwa kuweka mipangilio ya kifaa. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi."</string>
<string name="contact_your_admin_for_help" msgid="8045606258802719235">"Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi"</string>
<string name="device_already_set_up" msgid="507881934487140294">"Tayari umeweka mipangilio ya kifaa"</string>
<string name="device_owner_error_wifi" msgid="4256310285761332378">"Haikuweza kuunganisha kwenye Wi-Fi"</string>
<string name="device_has_reset_protection_contact_admin" msgid="1221351721899290155">"Kipengele cha kuweka upya mipangilio kimewashwa katika kifaa chako. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi."</string>
<string name="frp_clear_progress_title" msgid="8628074089458234965">"Inafuta"</string>
<string name="frp_clear_progress_text" msgid="1740164332830598827">"Tafadhali subiri..."</string>
<string name="device_owner_error_hash_mismatch" msgid="7256273143549784838">"Imeshindwa kutumia programu ya msimamizi kutokana na hitilafu ya kuangalia hesabu. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi."</string>
<string name="device_owner_error_download_failed" msgid="4520111971592657116">"Haikuweza kupakua programu ya msimamizi"</string>
<string name="device_owner_error_package_invalid" msgid="1096901016820157695">"Imeshindwa kutumia programu ya msimamizi. Vipengele havipo au vina hitilafu. Wasiliana na msimamizi kwa maelezo zaidi."</string>
<string name="device_owner_error_installation_failed" msgid="684566845601079360">"Haikuweza kusakinisha programu ya msimamizi"</string>
<string name="profile_owner_cancel_message" msgid="6868736915633023477">"Ungependa kuacha kusanidi?"</string>
<string name="profile_owner_cancel_cancel" msgid="4408725524311574891">"Hapana"</string>
<string name="profile_owner_cancel_ok" msgid="5951679183850766029">"Ndiyo"</string>
<string name="profile_owner_cancelling" msgid="5679573829145112822">"Inaghairi…"</string>
<string name="work_profile_setup_later_title" msgid="9069148190226279892">"Je, ungependa kuacha kuweka mipangilio ya kifaa chako?"</string>
<string name="work_profile_setup_later_message" msgid="122069011117225292">"Unaweza kuweka wasifu wako wa kazini baadaye katika programu ya kudhibiti kifaa cha shirika lako"</string>
<string name="continue_button" msgid="7177918589510964446">"Endelea"</string>
<string name="work_profile_setup_stop" msgid="6772128629992514750">"Simamisha"</string>
<string name="dismiss" msgid="9009534756748565880">"Ondoa"</string>
<string name="profile_owner_info" msgid="8975319972303812298">"Unakaribia kuunda wasifu wa kazini ambao utadhibitiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti yatatumika."</string>
<string name="profile_owner_info_with_terms_headers" msgid="7373591910245655373">"Unakaribia kuunda wasifu wa kazini ambao utasimamiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti kutoka <xliff:g id="TERMS_HEADERS">%1$s</xliff:g> yatatumika."</string>
<string name="profile_owner_info_comp" msgid="9190421701126119142">"Wasifu utaundwa kwa ajili ya programu zako za kazini. Wasifu huu na sehemu zingine za kifaa chako, zitasimamiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti yatatumika."</string>
<string name="profile_owner_info_with_terms_headers_comp" msgid="2012766614492554556">"Wasifu utaundwa kwa ajili ya programu zako za kazini. Wasifu huu na sehemu zingine za kifaa chako zitasimamiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti kutoka <xliff:g id="TERMS_HEADERS">%1$s</xliff:g> yatatumika."</string>
<string name="device_owner_info" msgid="2883639372446424007">"Kifaa hiki kitadhibitiwa na kuhifadhiwa salama na <xliff:g id="YOUR_ORGANIZATION">%1$s</xliff:g>. Sheria na masharti yatatumika. <xliff:g id="VIEW_TERMS">%2$s</xliff:g>"</string>
<string name="device_owner_info_with_terms_headers" msgid="7333703548160002079">"Kifaa hiki kitadhibitiwa na kuwekwa salama na <xliff:g id="YOUR_ORGANIZATION">%1$s</xliff:g>. Sheria na Masharti kutoka <xliff:g id="TERMS_HEADERS">%2$s</xliff:g> yatatumika. <xliff:g id="VIEW_TERMS">%3$s</xliff:g>"</string>
<string name="link_isnt_secure_and_cant_be_opened_until_device_setup_finished" msgid="1604497932637832657">"Kiungo hiki si salama na hakiwezi kufunguliwa hadi umalize kuweka mipangilio ya kifaa: <xliff:g id="LINK_RAW_TEST">%1$s</xliff:g>"</string>
<string name="contact_device_provider" msgid="9100405424740726066">"Ikiwa una swali, wasiliana na <xliff:g id="ORGANIZATIONS_ADMIN">%1$s</xliff:g>."</string>
<string name="if_questions_contact_admin" msgid="6147462485780267795">"Kama una maswali, wasiliana na msimamizi wa shirika lako"</string>
<string name="setup_isnt_finished_contact_admin" msgid="235011880559615998">"Haijamaliza kuweka mipangilio. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi."</string>
<string name="for_help_contact_admin" msgid="8687037236275184653">"Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi"</string>
<string name="organization_admin" msgid="1595001081906025683">"msimamizi wa shirika"</string>
<string name="your_org_app_used" msgid="5336414768293540831">"<xliff:g id="YOUR_ORGANIZATION">%1$s</xliff:g> itadhibiti na kufuatilia kifaa hiki kwa kutumia programu ifuatayo:"</string>
<string name="your_organization_beginning" msgid="5952561489910967255">"Shirika lako"</string>
<string name="your_organization_middle" msgid="8288538158061644733">"shirika lako"</string>
<string name="view_terms" msgid="7230493092383341605">"Angalia sheria na masharti"</string>
<string name="accept_and_continue" msgid="1632679734918410653">"Kubali na uendelee"</string>
<string name="close" msgid="7208600934846389439">"Funga"</string>
<string name="set_up_your_device" msgid="1896651520959894681">"Weka mipangilio ya kifaa chako"</string>
<string name="info_anim_title_0" msgid="3285414600215959704">"Badilisha jinsi unavyofanya kazi"</string>
<string name="info_anim_title_1" msgid="2657512519467714760">"Tenganisha data ya kazini na ya binafsi"</string>
<string name="one_place_for_work_apps" msgid="2595597562302953960">"Sehemu moja ya kuweka programu za kazini"</string>
<string name="info_anim_title_2" msgid="4629781398620470204">"Zima kipengele cha kazini utakapomaliza"</string>
<string name="provisioning" msgid="4512493827019163451">"Inaandaa"</string>
<string name="copying_certs" msgid="5697938664953550881">"Inasanidi vyeti vya CA"</string>
<string name="setup_profile" msgid="5573950582159698549">"Weka wasifu wako"</string>
<string name="profile_benefits_description" msgid="758432985984252636">"Kwa kutumia wasifu wa kazini, unaweza kutenganisha data ya kazini na data ya binafsi"</string>
<string name="comp_profile_benefits_description" msgid="379837075456998273">"Kwa kutumia wasifu wa kazini, unaweza kuweka programu zako za kazini mahali pamoja"</string>
<string name="setup_profile_encryption" msgid="5241291404536277038">"Weka mipangilio ya wasifu wako. Usimbaji fiche"</string>
<string name="setup_profile_progress" msgid="7742718527853325656">"Weka mipangilio ya wasifu wako. Inaonyesha maendeleo"</string>
<string name="setup_device" msgid="6725265673245816366">"Sanidi kifaa chako"</string>
<string name="setup_device_encryption" msgid="7852944465414197103">"Weka mipangilio ya kifaa chako. Usimbaji fiche"</string>
<string name="setup_device_progress" msgid="7035335208571175393">"Weka mipangilio ya kifaa chako. Inaonyesha maendeleo"</string>
<string name="learn_more_label" msgid="2723716758654655009">"Kitufe cha pata maelezo zaidi"</string>
<string name="mdm_icon_label" msgid="3399134595549660561">"Aikoni ya <xliff:g id="ICON_LABEL">%1$s</xliff:g>"</string>
<string name="section_heading" msgid="3924666803774291908">"Sehemu ya kichwa cha <xliff:g id="SECTION_HEADING">%1$s</xliff:g>."</string>
<string name="section_content" msgid="8875502515704374394">"Sehemu ya maudhui ya <xliff:g id="SECTION_HEADING">%1$s</xliff:g>: <xliff:g id="SECTION_CONTENT">%2$s</xliff:g>"</string>
<string name="expand" msgid="37188292156131304">"Panua"</string>
<string name="collapse" msgid="7817530505064432580">"Kunja"</string>
<string name="access_list_of_links" msgid="7094123315959323372">"Fikia orodha ya viungo"</string>
<string name="access_links" msgid="7991363727326168600">"Fikia viungo"</string>
<string name="access_terms" msgid="1982500872249763745">"Fikia sheria na masharti"</string>
<string name="read_terms" msgid="1745011123626640728">"Soma masharti"</string>
<string name="close_list" msgid="9053538299788717597">"Funga orodha"</string>
<string name="cancel_setup_and_factory_reset_dialog_title" msgid="5416045931532004811">"Iache kusasisha mipangilio na irejeshe hali iliyotoka nayo kiwandani?"</string>
<string name="cancel_setup_and_factory_reset_dialog_msg" msgid="808442439937994485">"Hatua ya kufunga shughuli hii ya kuweka mipangilio itarejesha kifaa chako katika hali iliyotoka nayo kiwandani na kuleta skrini ya kwanza."</string>
<string name="cancel_setup_and_factory_reset_dialog_cancel" msgid="2810966091829264727">"Ghairi"</string>
<string name="cancel_setup_and_factory_reset_dialog_ok" msgid="7168008267496150529">"Weka mipangilio ya kifaa upya"</string>
<string name="join_two_items" msgid="6110273439759895837">"<xliff:g id="FIRST_ITEM">%1$s</xliff:g> na <xliff:g id="SECOND_ITEM">%2$s</xliff:g>"</string>
<string name="join_many_items_last" msgid="3953431463001211545">"<xliff:g id="ALL_BUT_LAST_ITEM">%1$s</xliff:g> na <xliff:g id="LAST_ITEM_0">%2$s</xliff:g>"</string>
<string name="join_many_items_first" msgid="8365482726853276608">"<xliff:g id="FIRST_ITEM">%1$s</xliff:g>, <xliff:g id="ALL_BUT_FIRST_AND_LAST_ITEM">%2$s</xliff:g>"</string>
<string name="join_many_items_middle" msgid="8569294838319639963">"<xliff:g id="ADDED_ITEM">%1$s</xliff:g>, <xliff:g id="REST_OF_ITEMS">%2$s</xliff:g>"</string>
</resources>